
Kuna Aina Kama Tatu Hivi Za Magonjwa Hatari Ya Tezidume,
↳ Kukua kwa tezi dume, Hii sio Saratani wala bacteria infection, Kitaalamu hujulikana kama, "Benign prostate Hyperplasia" (BPH).
↳ Maambukizi ya bacteria infection (Prostetits).
↳ Saratani ya Tezi Dume (Prostate cancer).
Endapo mwanaume atakuwa na tatizo moja wapo hapo juu itampelekea matatizo makubwa ya uzazi, Ikiwewemo kushindwa kumpa mwanamke mimba, Na hata kushindwa piga machine..
Dalili kuu za matatizo ya tezi dume ni pamoja na, Mkojo kuchelewa kutoka, kuambatana na maumivu makali,
Kutumia nguvu nyingi kukojo, kushindwa kumaliza mkojo wote, Dalili ingine ni Kukojoa mkojo ulio na damu au Shahawa zilizo changanyikana na Damu.