Login
Register
HAPPY BIRTHDAY TO YOU 🎂 @zuwena194
Kuna Aina Kama Tatu Hivi Za Magonjwa Hatari Ya Tezidume, ↳ Kukua kwa tezi dume, Hii sio Saratani wala bacteria infection, Kitaalamu hujulikana kama, "Benign prostate Hyperplasia" (BPH).↳ Maambukizi ya bacteria infection (Prostetits). ↳ Saratani ya Tezi Dume (Prostate cancer).Endapo mwanaume atakuwa na tatizo moja wapo hapo juu itampelekea matatizo makubwa ya uzazi, Ikiwewemo kushindwa kumpa mwanamke mimba, Na hata kushindwa piga machine..Dalili kuu za matatizo ya tezi dume ni pamoja na, Mkojo kuchelewa kutoka, kuambatana na maumivu makali,Kutumia nguvu nyingi kukojo, kushindwa kumaliza mkojo wote, Dalili ingine ni Kukojoa mkojo ulio na damu au Shahawa zilizo changanyikana na Damu.
Je, Unajua? Mtindo Wako wa Maisha Leo Unaweza Kukusababishia Matatizo ya Tezi Dume Kesho.Ukiachana na sababu za kurithi, kuna baadhi ya tabia unazoishi nazo sasa ambazo zinaweza kukupeleka moja kwa moja kwenye matatizo ya tezi dume kadri umri unavyosonga.Lakini je, unaelewa maana halisi ya kuwa na tatizo la tezi dume? Au ukiambiwa una saratani ya tezi dume, unajua inamaanisha nini kwa afya yako na maisha yako kwa ujumla?IPO HIVI....Tezi dume sio ugonjwa bali ni kiungo katika mwili wa mwanaume, kama inavyo fahamika (Tezi dume). Tezi dume sio bushaa, Hili unatakiwa kulifahamu kwani watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya tezi dume na busa.Kazi kubwa ya Tezi dume kwa mwanaume ni kutengeneza maji maji yaani shahawa, Zinazo saidia mbegu zakiume kuogelea katika safari ya kurutubisha yai kwa mwanamke Na mbegu kubaki na uhai.
🔰🔰
Maneno mazuri na yenye faraja kwa wananchi 🙏